Search This Blog

Monday, February 24, 2014

MJADALA! JAZA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI KWENYE KIKOSI CHA SIMBA KAMA UNAKUBALIANA NA MTAZAMO WA ALLY SURU........
8 comments:

 1. Simba wanaponzwa na mwenyekiti.mkimwondoa Rage mambo yataenda vizuri.huyu jamaa ni mtata sana

  ReplyDelete
 2. km tuhuma za wachezajiii kumkataa coach ni kweli bac naamin sasa soka la bongo hakuna kitu,hatuwezi piga hatua hata moja,da kweli itakua ni just tunafanya mazoezi yakujifurahisha,kati ya makocha ambao mie binafsi nimewahi kuwaona na wanaofaa kwa mazingira ya wachezaji wa kibongo yule wa simba anafaa kuendelea na kuungwa mkonoo,swala la ubora wawachezaji mie sina pingamizi kwakweli maaana nijuavyo mie simba ipo kwenye kipindi chakujenga timu ya baadae sa lazimaaa tuwe wavumilivu ktk kusubiri matokea chanyaa.........

  ReplyDelete
 3. 1 mapunda 2 chollo 3 babu aali 8 kiemba 10 edward chistopher 11 messi

  ReplyDelete
 4. Nakubaliana kabisa na ndugu yangu Ally. Ukweli timu yetu Haina kabisa qualities kama tulizokuwa nazo just 2 seasons ago. Angalia wachezaji Okwi, boban, Mwinyi, sunzu, ngassa na kapombe. Na ukiangalia kwa makini zaidi utaona kuwa wana fall directly kwenye gaps aambazo Ndugu Juma ameziainisha. Kwa wana Simba tujiulize ru imekuwaje hawa wachezaji wanaondoka tena ndani ya msimu mmoja. Ni viongozi kukosa vision ? ulafi wa fedha wakasahau furaha wa wana simba milioni 20? Wana Simba Tunajua Nani aliyewaleta wachezaji hawa wote na tunajua ni kitu gani kilichomsibu hadi akaamua kujiengua. Shime Tusighafilike tena kuweka madarakani viongozi wa aina hii. Tuwe makini sana la sivyo kwa miaka mingine minne tutabakia kucheza ndani tu.

  ReplyDelete
 5. Nakubaliana kabisa na ndugu yangu Ally. Ukweli timu yetu Haina kabisa qualities kama tulizokuwa nazo just 2 seasons ago. Angalia wachezaji Okwi, boban, Mwinyi, sunzu, ngassa na kapombe. Na ukiangalia kwa makini zaidi utaona kuwa wana fall directly kwenye gaps aambazo Ndugu Juma ameziainisha. Kwa wana Simba tujiulize ru imekuwaje hawa wachezaji wanaondoka tena ndani ya msimu mmoja. Ni viongozi kukosa vision ? ulafi wa fedha wakasahau furaha wa wana simba milioni 20? Wana Simba Tunajua Nani aliyewaleta wachezaji hawa wote na tunajua ni kitu gani kilichomsibu hadi akaamua kujiengua. Shime Tusighafilike tena kuweka madarakani viongozi wa aina hii. Tuwe makini sana la sivyo kwa miaka mingine minne tutabakia kucheza ndani tu.

  ReplyDelete
 6. Tatizo kubwa la simba ni ukata,wachezaji hawajalipwa mshahara miezi mitatu watachezaje kwa kujituma?ndio maana OKWI aliamua kuondoka Etoile sababu alikuwa halipwi mshahara lakini Rage bado analazimisha kwamba ni mchezaji wa Etoile kwan sababu yeye anavyowafanyia wachezaji wa simba anaona sawa tu

  ReplyDelete
 7. Kumbe. Simba wamemsajili Leon Mess? Du hongera sana wajipange wampate na Yaya kwenye kiungo, back wamchukue yule mbrazil wa Chelsea watakuwa wamemeliza.

  ReplyDelete
 8. 1.Berko 2.Cholo 3.Omari Salum 4.Owino/Hassan Isihaka 5.Mosoti 6.Mkude/Henry Joseph 7.Singano 8.Kiemba 9.Tambwe 10.Zahoro/Ndemla 11.Chanongo/Ibrahim Shekue"Messi"

  ReplyDelete