Search This Blog

Wednesday, January 15, 2014

UMEGUNDUA KITU GANI KUTOKANA NA NAMNA KURA ZILIVYOPIGWA ?

Waandishi wa Habari
1. Ribery 524
2. Ronaldo 399
3. Messi 365
  Makocha:   
1. Ronaldo 456 2. Messi 402 3. Ribery 314
Manahodha :   
1. Ronaldo 510 2. Messi 438 3. Ribery 289

3 comments:

  1. Wanaoujua mpira wanamkubali CR7 then waandishi wa habari ambao wengi ni washabiki tu wanamkubali Ribery

    ReplyDelete
  2. Kumbe nyie waandishi wa habari hamjui vigezo sahihi vya ubora wa mchezaji!

    ReplyDelete
  3. Nataka kujua tu kama kocha wetu wa Taifa Stars Paulsen, kapteni wa Taifa Stars na waandishi wetu wa habari kama nao walishiriki katika zoezi zima la upigaji kura............ au wazungu kwanza sisi badae kidogo.

    ReplyDelete