Search This Blog

Sunday, January 5, 2014

TANZIA: GWIJI LA SOKA EUSEBIO AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 71.

 Eusobio akiwa na Bobby Moore mnamo mwaka 1980
 Eusebio akiwatia njaa mabeki wa Arsenal mnamo mwaka 1971.
 Pia aliifungia timu yake ya Taifa jumla ya mabao 41 kwenye michezo 64
 Gwiji Eusebio aliifungia klabu yake ya Benfica jumla ya mabao 473 kwenye michezo 440.ambapo aliiongoza kutwaa kombe la ulaya mwaka 1962.
 Hii ni mechi ya kihistoria ambayo Eusebio alifungia mabao 4 peke yake timu yake ya Taifa ya Ureno kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la dunia mwaka 1966 dhidi ya Korea ya Kaskazini kwenye dimba la Goodison Park.
 Bobby Charlton na Eusebio wakiwa kwenye uwanja wa Old Trafford mwaka 2003.
Eusebio akifunga bao kwenye mchezo wa fainali ya kombe la ulaya dhidi ya Ac Milan mwaka 1963 kwenye uwanja wa Wembley.

No comments:

Post a Comment