Search This Blog

Friday, January 31, 2014

SIKU YA MWISHO YA USAJILI - WENGER AKANUSHA KUTAKA KUMSAJILI DRAXLER


………………………………………………………………………………...
Wakati yakiwa yamebakia masaa machache mpaka muda wa kufungwa kwa dirisha la usajili barani ulaya kufungwa, kocha wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha rasmi kwamba klabu yake haitomsaini kiungo wa klabu ya Schalke Julian Draxler 
"Usajili wa Draxler umetengenezwa na magazeti, na sio mimi. Ataendelea kuwepo Schalke," Wenger amewaambia maripota muda mchache uliopita.

1 comment:

  1. Kaka Shaffih haupo sahihi kwenye hili uliyolianzisha. Kaka Michuzi na Kaka Abdul wameliongelea na kulifafanua vizuri kabisa swala hilo. Tuwe wakweli na tufuate sheria. Tukubali kuelimishwa pale ambapo tunaona hatuna uelewa. Watanzania nivizuri tukaendeleza yale mazuri yaliyoachwa na uongozi uliopita na kurekebisha zile kasoro. Ni kurudishana nyuma tukianza kulalama. Yote yalisemwa na kaka Abdul ni sahihi kabisa.

    ReplyDelete