Search This Blog

Friday, January 10, 2014

ROBERTO CARLOS USO KWA USO NA YANGA NCHINI UTURUKI.


Beki wa kushoto wa zamani wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Robert Carlos leo asubuhi  amekutana na wachezaji na viongozi wa Yanga kabla ya mazoezi.

Carlos Kwa sasa ni kocha wa timu ya Sivasspor iliyopo Ligi Kuu nchini Uturuki, Yanga pamoja na Sivasspor zimeweka kambi kwenye hotel ya Sueno Beach zikijiandaa na mashindano mbali mbali yanazikabil,Yanga wakiwa wameweka kambi kujiandaa na raundi ya pili ya ligi kuu ya Vodacom wenzao Sivasspor wanajiandaa na mchezo kombe la chama cha soka nchini humo ambao utachezwa siku ya jumanne.

Roberto Carlos akiwa na wachezaji wa Yanga nchini Uturuki.

    Nizar Khalfan na kocha Charles Boniface Mkwasa wakiwa na Roberto Carlos nchini Uturuki.
Roberto Carlos akiwa na Baraka Kizuguto pamoja na Juma Pondamali.

 IMEANDALIWA NA BARAKA KIZUGUTO

2 comments:

  1. mbona kava uzi mwekundu na wame babaika kupiga nae picha! wakati kilebo cha voda walikikataa! Yanga wanafiki

    ReplyDelete
  2. Ushamba tu unawasumbua tunawasuburi UTaifa ,tuwape Dozi yayo

    ReplyDelete