Search This Blog

Friday, January 10, 2014

REAL MADRID YAIFUNGA OSASUNA MABAO 2-0 KWENYE KOMBE LA MFALME,


Jana usiku kwenye mchezo wa kombe la mfalme la Hispania Cristiano Ronaldo alifanya kitendo ambacho mwanandamu wa kawaida anaweza kukifanya katika mazingira ya kawaida,Ronaldo aliruka juu umbali wa futi nne zaidi ya mabeki wa Osasuna na kuupiga mpira kichwa ambacho hakikuzaa matunda,kwenye mchezo huo wa raundi ya 16 bora Real Madrid walishinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Karim Benzema na Jesse Rodrigez huku Gareth Bale akicheza dakika 90 kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2014 baada ya kutoka kwenye maumivu.No comments:

Post a Comment