Search This Blog

Thursday, January 30, 2014

NINI MAONI YAKO JUU YA HILI BAO LA ETOO DHIDI YA WEST HAM UTD.



3 comments:

  1. Sijaona moment ya wakati anadaka...ila kama alidaka na akaudunda mpira mara mbili na kuuweka chini aupige then ni goal alishauweka mchezoni....ila kama aliudaka na kuuweka chini au it seems ili aupige sio goal bado hajauweka mchezoni unless angeugusa kidogo kwa mguu...haya ni maoni binafsi based on experience ya lile goal la Thiery Henry enzi zile arsenal nimesahau mechi ipi...ila kama unaweza pata mazingira ya lile goal inaweza toa utata..

    Classic

    ReplyDelete
  2. Nafikiri sio sahihi kudaka mpira na kuuweka chini labda kuna tukio lilitokea kama offside ambayo ilimlazimisha aweke mpira chini vinginevyo lingekuwa goli au Morinho angechonga balaa.

    ReplyDelete
  3. GOLE SIYO...SAHIHI MAANA MARA BAADA YA GOLIKIPA KUDAKA MPIRA ALICHEZEWA FAULO NA MWAMUZI ALIAMURU HIYO FAULO JAPO HAIKUFUATILIWA NA WENGI THEN KIPA ALIWEKA CHINI ILI APIGE ILE FAULO SO MVIZIAJI KAMA KAWAIDA YAKE NA HAKUJUA KAMA ALISABABISHA FAULO B4 AKAFUNGA GOLI.......

    ReplyDelete