Search This Blog

Friday, January 10, 2014

MTANZANIA CHECHE KAGILE ALIFUNGA MABAO 16 NDANI YA SIKU MBILI...1 comment:

  1. Asante mwandish Henry Paul.RIP Cheche.Sikufahamu kama Cheche ni marehemu.Hii article imenikumbusha sana enzi za utoto wangu nikiwa Bukoba Sekondari mwaka 1986-1989.Tulikuwa tunaenda Kaitaba kuangalia watani wa jadi Balimi vs RTC Kagera.Kipindi hicho RTC wana wakali kama Abdul Kachupa(marehemu I think),Willy Kamugisha(RIP),Kipa Kichochi Lemba(RIP?),Mavumbi Omari,Hussein Kaitaba, Martin Ilanfya,Godwin Kichemu,Mid-fielder Kilyanga(Balimi?),Balimi sitamsahau kiungo Zahoro Sabu ambaye baadae alijuunga na RTC Kagera/Simba?,Mkama Ntare na wengine Kibao.........................!!!

    ReplyDelete