Kiungo Yaya Toure akishangilia baada ya kufunga bao dhidi ya Man Utd......
Alvaro Negredo akishangilia moja ya mabao yake aliyoifungia Manchester City msimu huu......
Mkongwe Ryan Giggs akiwa kwenye dimbwi la mawazo tele.......
Angalia washambuliaji wa Manchester City wanavyowakimbiza washambuliaji wa Man Utd....
Kuna tofauti gani kwenye sura za Manuel Pellegrin na David Moyes....
Safu ya ushambuliaji ya Manchester City imekuwa moto wa kuotea mbali....
Kila kitu kina wakati wake na kila utawala una muda. Ni muda wa Mancity na utawala wake katika jiji la Manchester. Legacy ya Furguson na Red devils imepita. Itafikia muda David Moyes naye atajenga Legacy yake ila ni baada ya kuondoa chembechembe alizozikuta zinazoamini mfumo tofauti na yeye anavyoamini na kupandikiza machipuki yatayocheza kiduku kama atapiga goma la kiduku na si vinginevyo. Red devils muwe wavumilivu msiharakie kuvuna wakati hamjamwagilia na mvua hainyeshi. Mwacheni Moyes alime apande apalilie vikishakomaa mtavuna.
ReplyDeletewww.mchambuzihotnewz.blogspot.com