Search This Blog

Friday, January 24, 2014

HUU NDO UKWELI KUHUSU USAJILI WA OKWI


6 comments:

  1. Kichefu chefu wanacheza na akili zetu wana paswa wajue dunia imebadirika waache unafiki.

    ReplyDelete
  2. Kuna watu wameingia pale TFF na akili za kishabiki na mapema kabisa wameanza madudu haya,je baada ya miaka minne ya uongozi wa Malinzi hali itakuwaje?Kaburu anajulikana hapa mjini kwa kuhonga wachezaji(Kisambale,Ulimboka)na marefa na fitna nyingi za kinyume na maadili ya soka ikiwemo kumsainisha Ngassa mkataba wa kuchezea simba sc huku akiwa na mkataba na Azam FC,leo hii huyu ndiye kiongozi wa TFF.Hanspope ni mwenyekiti wa kamati ya usajili ya simba sc ambayo ilimuwekea pingamizi Okwi asicheze YANGA LAKINI BADO AMESHIRIKI KWENYE KIKAO CHA KAMATI YA tff ILIYOMJADILI oKWI NA KUMZUIA KUCHEZA.Huyu mtu alishawahi kutiwa hatiani kwa kosa la jinai na kufungwa jela hivyo kikatiba hana sifa za kuwa kiongozi wa TFF lakini bado Malinzi amemteua kwenye kamati.Madega ana kashfa mbaya ya kukataa kupeleka timu uwanjani kucheza na simba sc mwaka 2008 mashindano ya Kagame lakini leo hii ni kiongozi katika kamati za TFF.tATIZO LIKO KWA ALIYEWATEUA AMBAYE JUZI TU AMEKWENDA KWA lOWASA KUMUELEZEA MIKAKATI YA tff kabla hata ya kwenda kwa Rais au waziri wa michezo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukwel utabak palepale siasa usanii,ubinafs,ukabila ni sumu mbaya inayoendelea kutafuna soka letu malinz kashaanza mapema siasa na ubinafs usitegemee mapya tutazid kushuka hata Aje mourihno kazi bure maana bila ya mikakat dhabit ni vichekesho tu

      Delete
  3. Tatizo viongozi wa simba waliomuuza okwi ESS wameshika baadhi ya nyazifa mhm TFF,ndio wanaoanza kuleta mizengwe ili ionekane okwi sio halali Yanga,inshort watafute namna nyngne ya kuwapoza mashabiki wa simba,hata hvyo tunashukuru wameanzisha uchawi wao mapema,okwi atacheza Yanga mtake msitake

    ReplyDelete
  4. ngoma bado mbichi, kama ni kitabu basi ndo kwanza ukurasa. ebu ngoja tuone tamati yake ni nini?

    ReplyDelete
  5. mi mpita njia tu. bonge la sinema

    ReplyDelete