Search This Blog

Wednesday, January 8, 2014

COASTAL UNION KESHO KUELEKEA NCHINI OMAN.....


Wagosi wa kaya Coastal Union nao wanatarajiwa kuondoka nchini Kesho kuelekea Oman kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom.
Akizungumza na Sports Extra mwenyekiti wa Coastal Union Ahmed Aurora amesema kwamba wanatarajiwa kuondoka kesho mchana  kwa mwaliko maalum nchini humo.

BOFYA HAPA CHINI KUMSIKILIZA AURORA

No comments:

Post a Comment