Search This Blog

Tuesday, January 14, 2014

BEACH SOCCER, PIA ILIWAKILISHWA KWENYE TUZO ZA FIFA BALLON D'ORJoan Cuscó, Karembeu, Schirinzi, Dona, Bruno Xavier, Shishin, Meier, Likhachev and Wenger walikuepo kwenye tuzo jana.
Kwa mara nyingine tena mwaka huu mchezo wa soka la ufukweni (Beach Soccer) ulikuwa na uwakilishi kwenye tuzo za FIFA Ballon d'Or, zilizofanyika usiku wa jana jijini Zurich nchini Uswizi.  

Ukiachana Joan Cusco, ambaye mara kwa kwa mara huwakilisha mchezo huu kwenye tuzo hizi akiwa kama mjumbe wa kamati ya FIFA ya mchezo wa Beach Soccer,safari hii walikuepo pia balozi wa FIFA wa mchezo wa Beach Soccer Christian Kalembeu,walialikwa pia wachezaji bora wa mashindano ya dunia ya Beach Soka ambao  Dona (Spain),aliyekuwa kipa bora wa kombe la dunia la beach soccer,Dmitry Shishin (Russia), mfungaji bora na mchezaji bora Bruno Xavier (Brazil.

walikuepo pia kocha wa mabingwa wa dunia wa beach soccer Urusi, Mikhail Likhachev, pamoja na  mkufunzi wa FIFA wa Beach Soccer Angelo Schirinzi, makocha Stephan Meier na Reto Wenger.

 

No comments:

Post a Comment