Wakati uchaguzi mkuu wa shirikisho la
mpira wa kikapu Tanzania TBF ukitarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu,
baadhi ya viongozi mchezo huo wameibuka na kuweka bayana baadhi ya mapungufu
yaliyopo kwenye uongozi unaomaliza muda wake.
Kutokana na mapungufu hayo baadhi ya makocha wameomba na baadhi ya wadau wa mchezo wameomba Baraza la Michezo la
Taifa BMT kusimamisha uchaguzi huo kwani haukufuata utaratibu kwa mujibu wa
katiba.
Richard
Jules makamu wa Rais wa chama cha Kikapu
mkoa wa Dar es salaam naye pia anafafanua baadhi ya mapungufu hayo.
Naye katibu msaidizi wa TBF Michael Maluwe amejibu baadhi ya tuhuma hizo.
BONYEZA HAPA CHINI ILI UWASIKILIZE.

(2).jpg)
No comments:
Post a Comment