Search This Blog

Sunday, December 1, 2013

LOGARUSIC ATUA RASMI KUIFUNDISHA SIMBA SC.







5 comments:

  1. Huyo kocha anaonekana anavituko kama vya Jose mourinho lkn bahati mbaya anaenda timu ambayo atatimuliwa muda si mrefu nampa pole,simba malizeni migogoro

    ReplyDelete
  2. Timu hii ni majanga tu mwaka huu, ameletwa goli kipa ailyetemwa na yanga sijui viongozi wanategemea nini. Tatizo la Simba sio timu bali ni uongozi kwa hiyo hata bechi la ufundi likibadilishwa bado tatizo litabaki. Kamati ya utendaji yote kila mmoja anajiona anajua mpira kwa hiyo hakuna wa kumsikiliza mwenzake, suruhisho ni kubadili kamati nzima ya utendaji sio benchi la ufundi!

    ReplyDelete
  3. Wanga huwa hawakosi maneno ya kejeli hasa simba wanapofanya lao tunajuwa mtasema mengi ila kocha madhali kakubali kaajiriwa na kufukuzwa pia kakubali

    ReplyDelete
  4. Itz a gud nyuz kwamba kamati ya utendaji na mwenyekiti wao wanashirikiana tena, kitu kinachostua ni umri wa Berko coz nlivyoona hoja za Kaseja kuondolewa(uzee) nadhan Berko nae umri umeenda so simba inabidi itafute kipa mwenye umri wa kucheza miaka 10 mbele! Ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  5. Mourhino once said " the managers are hired to be fired" so unashangaa nini au hujui msemo wa BIG RESULT NOW

    ReplyDelete