Search This Blog

Friday, December 27, 2013

MJADALA: JE KWELI RAHEEM STERLING ALIKUWA OFFSIDE ?



9 comments:

  1. hakuwa off side refa aliwaua liver

    ReplyDelete
  2. England ligi bora japo marefa wanamambo ya kipumbavu balaa. Yaani yeyote timamu hawezi akasema ile ilikuwa off side.

    ReplyDelete
  3. hakua offside bt refa alifanya maamuz yale coz gem ilikua ya kas sana utafikir unacheza PS na pressure ya mafans so ilikua ni lazma anyooshe kibendera asee

    ReplyDelete
  4. Hakuwa offside naona ni kampeni za wazi kuirudisha nyuma liverpool imeniuma sn kama shabiki vijana wanapambana alafu refa anatoa maamuz rahisi tu

    ReplyDelete
  5. Alikuwa offside kwani angalia movement ya huyo mchezaji na pia na mwenye mpira hautakiwi ukiwa mchezaji wa mwisho uanze kukimbia kabla ya mpira haujapigwa. Rudie sheria za offisde za fifa

    ReplyDelete
  6. Huwezi toa maoni juu ya kitu usichokielewa, kwa sheria ipi utaidhinisha ile kuwa offside? Pale ni assistant referee kutokuwa makini c kwa lile goli tu kuna mengi kawafanyizia sana hao Liverpool!

    ReplyDelete
  7. Namjibu Anonymous December 27, 2013 at 6:05 AM, Raheem Sterling hakuwa offside kwa namna yoyote ile uijuajo ya soka na hata sheria za offside zinaonyesha hakuwa offside. Sijui labda kwa uelewa wangu mdogo wa sheria ya offside maana nijuavyo mimi ni kwamba mlengwa wa pasi anatakiwa akimzidi mtu wa mwisho wa timu pinzani hata kisigino tu kabla mpira wa pasi haujapigwa basi moja kwa moja maamuzi hayo yatakuwa ni OFFSIDE otherwise pasi ile aiache na asionyeshe any movement kwamba alitaka kwenda nayo yeye then atokee mtu mwingine aliye ONSIDE kuicheza pasi ile basi hatakuwa OFFSIDE. Tusirefushe maneno twende kwenye pointi yenyewe ya Raheem Sterling ambayo movement yake haikuwa OFFSIDE kabisa, kwanini nasema hivyo? kwa sababu wakati mtoa pasi (Luis Alberto Suarez) anauachia mpira ule mlengwa wa pasi ile (Raheem Sterling) alikuwa mita 2-4 mbele ya Alexander Kolarov na alikuwa ONSIDE na sheria ilimruhusu kuendelea na biashara yake ila kama angekuwa amemzidi hata kidogo Kolarov ndio Suarez apiga 'through ball' ile dhahiri bin shahiri ilikuwa ni OFFSIDE. Kwa tukio lile la mechi ya jana lineman na refa wake waliiuma Liverpool hakuna ubishi.....

    ReplyDelete
  8. hakuwa offside yule jamaa

    ReplyDelete