Search This Blog

Thursday, December 19, 2013

BREAKING NEWS! EMMANUEL OKWI KUTUA NCHINI LEO HII SAA TISA NUSU.

Kwamujibu wa taarifa nilizozipata hivi punde kutoka kwa hafisa habari wa Yanga Baraka Kizuguto,mshambuliaji Emmanuel Okwi anataraji kutua kwenye uwanja wa ndege wa mwalimu Julius Nyerere leo hii saa tisa na nusu na ndege ya shirika la Rwanda Air.

Haya sasa mashabiki wa YANGA wahini Airport kumpokea kijana wenu.


4 comments:

  1. Na taarifa za punde ni kuwa fifa wamembariki okwi kuja tanzania kuchezea yanga africa

    ReplyDelete
  2. The Acting Competitions Director of the Uganda FA, Decolas Kiiza, has clarified that FIFA cleared striker Emmanuel Okwi to join Tanzanian league champs Young Africans FC.

    “Yes we wrote to FIFA and they said the player was free to transfer,” Kiiza told MTNFootball.com

    ReplyDelete
  3. hizo taarifa umezitoa wap tupatie na source kabisa asee

    ReplyDelete
  4. simba hamna matajiri mbona kila siku mnaonewa kila siku yanga mnamsajili mchezaji wa simba uchokozi tu kama mna hela yangu mchukueni na samata

    ReplyDelete