Search This Blog

Thursday, December 12, 2013

BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI - ARSENAL KUCHEZA 16 BORA DHIDI YA AIDHA BARCA, MADRID, ATLETICO, PSG AU BAYERN - TOA MAONI UNGEPENDA IPANGWE NA TIMU GANI?

TIMU ZA ENGLAND DHIDI YA TIMU AMBAZO ZINAWEZA KUPANGWA NAZO KATIKA 16 BORA YA CHAMPIONS LEAGUE. UNGEPENDA TIMU YAKO IPANGWE NA NANI? TOA MAONI…..

ARSENAL
Real Madrid
PSG
Bayern Munich
Atletico Madrid
Barcelona
CHELSEA
Bayer Leverkusen
Galatsaray
Olympiakos
Zenit St Petersburg
AC Milan
MANCHESTER CITY
Real Madrid
PSG
Dortmund
Atletico Madrid
Barcelona
MANCHESTER UNITED
Galatasaray
Olympiakos
Schalke
Zenit St Petersburg
AC Milan

 

12 comments:

  1. Atleast Atletico Madrid

    ReplyDelete
  2. Mi ningependa Asernal tucheze na atletico madrid kwa mbaaaaali

    ReplyDelete
  3. Nataka wacheze na real madrid RIP

    ReplyDelete
  4. yeyote yule aje sie tunapiga tu.

    ReplyDelete
  5. Mimi ni shabiki wa Arsenal, nataka watupatie Bayern. Sababu ni kwamba ili kuthibitisha ubingwa we have to beat the best!

    ReplyDelete
  6. mimi ningependa gunners wakutane na real madrid kwa kweli

    ReplyDelete
  7. wajameni wajamen mkuki haupigwi konzi na sumu haitestiwi kwa kulambwa,wana asenali wenzangu bayern ni kifo kile tumuombe Mungu atuepushie mkono wa bayern bora hata Atletico kwa mbaaaaaaal bt kiukwel Hali ni tete wanaasenali wenzangu

    ReplyDelete
  8. Labda wakutane na PSG kidooooogo zlatan na cavan sio kama safu ya ushambuliaji ya hao wengine ambao hata beki ni mshambuliaji

    ReplyDelete
  9. Aseno ili isonge mbele bora ikutane na Atletico de madrid, coz formation ya uchezaji inaendana,bt aseno wataibuka na ushindi cz naamini watawazidi ujanja Atletico, vinginevyo ndo utakuwa mwisho wa safari yao.

    ReplyDelete
  10. ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaa ngoja tuone wajamen ars8 wanatamani wapangwe na a.madrid bt lazma watakutana na barc au madrd

    ReplyDelete