Search This Blog

Thursday, November 28, 2013

PICHA YA SIKU: MASHABIKI WA REAL MADRID WANAVYOMPA SAPOTI RONALDO ASHINDE BALLON D'OR

2 comments:

  1. Hizi sasa kampeni za wazi kabisa!! Naheshimu uwezo wake na msaada wake katika timu lakini ukweli utabaki palepale CR kwa sasa anatembelea kivuli cha Messi.... Hizi siasa za Barca na Madrid lakini kwa mwaka huu si CR wala Messi hawastahili kushinda hiyo tuzo

    ReplyDelete
  2. Mm sipo upande wako, kwa mtazamo wangu mm tuzo ya mwanasoka bora wa dunia huangalia uwezo wa mchezaji binafsi. Nafikiri huu ni mwaka wa cr 7.

    ReplyDelete