Search This Blog

Tuesday, November 5, 2013

MJADALA: HII ILIKUWA PENALTI AU SIYO ( SIMBA Vs KAGERA SUGAR )

4 comments:

 1. Mbona umeangalia upande mmoja (Simba)?

  Kweli nimeamini soka la bongo halikui kwasababu ya u-simba na u-yanga.

  ReplyDelete
 2. Ilikuwa penalty wasitafute sbb,mwamuzi alipuliza filimbi mara baada mchezaji wa kagera kudondoshwa ndani ya eneo la hatari japo mvutano ulianzia nje,kwanza beki ilibidi apewe hata kadi

  ReplyDelete
 3. HIYOOOO penalt kabisaaaa......mcsc fan

  ReplyDelete