Search This Blog

Friday, October 18, 2013

BREAKING NEWS! HAMIDU MBWEZELENI AMKATA TENA DAUDA UCHAGUZI WA TFF!


4 comments:

 1. HAMIDU MBWEZLENI anafanya TFF ni ya baba yake anasahau kuwa ni ya watanzania
  shaffih kwa hilo usikubali milioni moja yetu wamechukua alafu wanaleta zengwe ni bora uende mahakamani tu tufungiwe na fifa maana tumeshachoka zengwe hakuna la maana lolote walilofanya pale kazi kuendekeza matumbo yao tu

  ReplyDelete
 2. unajua ina bidi mambo ya kijinga kama haya wa tz kukatae!haiwezekani mtu mchukue pesa yake,kisha muibuke na sababu nyingine tena!shafi komaa uckubali upuuzi huu.

  ReplyDelete
 3. Wamludishie pesa yake.Hii nchi imekuwa eti kila kitu kwa kujuana.Kwanini wasiwaachie watu wenye kariba ya michezo wakaingia pale tff.Wanajua hawatakula na tutaendelea kuwa kichwa cha Mwenda wa zamu hadi mwisho wa Dunia.Kwa kweli nimedheheshwa na hiyo taarifa ya kumuondoa Bwana Shafii Dauda.

  ReplyDelete