Search This Blog

Saturday, September 14, 2013

YANGA WASHAMBULIWA NA MASHABIKI WA MBEYA CITY WAKIINGIA KWENYE UWANJAWA SOKOINE - BASI LAVUNJWA VIOO

Dakika chache zilizopita wakati basi la klabu ya Yanga likiwa linaingia katika uwanja wa sokoine mjini Mbeya limeshambuliwa na mashabiki wanaodhaniwa kuwa wa Mbeya City kwa kupigwa mawe, kitu kilichopelekea vioo vya gari hilo kupasuka.

Mpaka sasa hakuna taarifa kama kuna mchezaji yoyote wa klabu hiyo aliyejeruhiwa.

9 comments:

  1. ina wafaa kwani nao waliwafanyia hivo coastal union

    ReplyDelete
  2. yep, nakuunga mkono Anonym wa September 14, 2013 at 5:41 AM.

    Wao wanadhani fujo wanazimudu wao pekee. Safi sana Mbeya City. Baada ya mechi sita inabidi Yanga waanze kukodi DCM kuweza kusafiri mikoani. Wameanza weeeenyewe!

    ReplyDelete
  3. Walichokianza kwa Coastal Union ndio hicho kinawageukia waandae bajeti ya Kununua Vioo vya basi lao

    ReplyDelete
  4. yan wao ndoo ilibidi waumizwe kabisa kwan gari letu la coastal union lilivunjwa na wao wenyewe

    ReplyDelete
  5. hao walikuwa washabiki wa simba waishio mby. washabk wa mby city hawana munkali kama huo

    ReplyDelete
  6. KILA AUWAYE KWA UPANGA NAYE ATAUAWA KWA UPANGA.......Wanastahili kabisa.

    ReplyDelete
  7. Wamestahili kabisa ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali

    ReplyDelete
  8. Simba achen ushabik usio kuwa na maana

    ReplyDelete
  9. Acheni upimbi kwani yanga walivyoshambuliwa msimu uliopita wakati wakiwa tanga na mashabiki wa coast hamkumbuki? Piga ubingwa bado utatua jangwani

    ReplyDelete