Search This Blog

Thursday, August 29, 2013

YANGA ILIVYOVUTWA SHATI NA WAGOSI WA KAYA COASTAL UNION UWANJA WA TAIFA



Waamuzi wa leo wakiwa na manahodha wa timu zote mbili Jerry Santo wa Coastal Union na Nadir Haroub wa Yanga.
 Uhuru Suleiman akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa Yanga kwenye mechi ya leo iliyoisha kwa suluhu ya 1-1.

Haruna Moshi 'Boban akipambana na Cannavaro
 Kimenukaaaaaaaa mashabiki wa Wagosi wa kaya kutoka Tanga moja kwa moja mpaka uwanjani, na kutoka uwanjani moja kwa moja mpaka Tanga. Ama kweli waja leo waondoka leo. (PICHA KWA HISANI YA COASTAL UNION BLOG)

                         Kikosi cha leo hiki kilichoanza dhidi ya Yanga uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
  
Hamad Juma akitafuta mbinui za kumtoka mchezaji wa Ynga, Mbuyu Twite huku Crispin Odula akiwa tayari kumsaidia.
                   Hapa Nadir Haroub akijaribu kumdhibiti 'toto tundu' Yayo Kato lakini alishindwa.

Abdi Banda kati kati ya wachezaji wa Yanga.
                             'Selembe' Suleiman Kassim akizongwa na Juma Abdul (12) wa Yanga.

Kulitokea tafrani kidogo wachezaji wa Yanga na Coastal Union, hatimaye mwamuzi akatoa kadi nyekundu kwa wachezaji wawili Odula (Coastal Union) na Simon Msuva (Yanga).
 Hii ndiyo penalt aliyofunga Jerry Santo dakika ya 90 baada ya David Luhende wa Yanga kuunawa mpira eneo la hatari.

                                                            


 


1 comment:

  1. Wapi Manji!! Tatizo pesa kumkomboa Ngasa hakuna! Fowadi hakuna kabisa pale! Huyo Bin slum anawatoa jasho! Je Bahressa? Kuzoea kuonea timu zenye uchumi mdogo shida yake ndo'iyo!! Mwanzo wa shida ndo umefika ushauri kwa Brandt asimalize nauli wanaweza kumtimua muda wowote!!@@

    ReplyDelete