Search This Blog

Thursday, August 29, 2013

PICHA: MASHABIKI WA YANGA WALIPIGA MAWE BASI LA COASTAL UNION NA KUVUNJA VIOO NA KUMPASUA MCHEZAJI WA WAGOSI

Siku ya jana baada ya mchezo wa Yanga vs Coastal Union kuisha - timu ya Coastal ikiwa inaondoka uwanja wa taifa ilifanyiwa vurugu na mshabiki wanaosadikika kuwa wa Yanga. Katika vurugu hizo inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na huku mchezaji wa Coastal Union  Hamad Juma 'Basmat', amepasuliwa kichwani na ameshona nyuzi kadhaa.

6 comments:

  1. Wachezaji ngumi mkononi wana rekodi kumvurumishia migumi refa!!mashabiki nao mawe.Fundishaneni ustaarabu! Karne hii ugomvi ni AIBU kwa klabu!!

    ReplyDelete
  2. WASHABIK WA BONGO NI WA AJABU SANA!.HIVI HILI GARI LINA KOSA GANI?/.AU HAWA WACHEZAJI WANA KOSA GANI?.NI KWASABUBU YA KUSWAZISHA BAO AU???.NDO TIMU KAMA YANGA HAIWEZI KUFANYA VIZURI MASHINDANO YA KIMATAIFA HATA SIKU MOJA KWAHALI KAMA HII.NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA YANGA!!!

    ReplyDelete
  3. Mashabiki wa Yanga mnatia aibu kwani Coast Union ndiyo waliosababisha ninyi mtoe sare kama si wachezaji wenu ovyo? Mnazalilisha tasnia ya mpira nchini na mkae mkijua kuwa hali hiyo ya kufanya vibaya itaendelea endapo mnaendelea kufanya vulugu kwani wachezaji wenu hatawatajua kuwa matokeo hayo yanasababishwa yanatokana na wachezaji wenyewe kutojituma na kushindwa kufuata maelekezo ya kocha wao. TFF kemeeni uishabiki wa kizumbukuku kama waliofanya mashabiki wa Yanga jana vinginevyo mauaji yatatokea muda si mrefu. Nasema hivyo kwa sababu huwezi kujua mashabiki wa Coast Union watafanya nini endapo Yanga wataenda Tanga.

    ReplyDelete
  4. Huo tunaita ushabiki usio na tija,kama mmeshindwa kuvumilia kufungwa bora mhamie kushabikia ligi za ulaya tu.Sasa mngefungwa ingekuwaje kama hiyo droo tu mnarusha mawe.Inabd muwalaumu wachezaji wenu kwa kushindwa kufunga nafasi lukuki walizozipata.
    Kumbukeni pia kuwa mnashiriki ligi ya mabingwa ilihali maandalizi yenu yanaonekana yamekaa ki-VODACOM PREMIER LEAGUE.

    ReplyDelete
  5. Mashabiki wa Yanga mnatia aibu kwani Coast Union ndiyo waliosababisha ninyi mtoe sare kama si wachezaji wenu ovyo? Mnazalilisha tasnia ya mpira nchini na mkae mkijua kuwa hali hiyo ya kufanya vibaya itaendelea endapo mnaendelea kufanya vulugu kwani wachezaji wenu hatawatajua kuwa matokeo hayo yanasababishwa yanatokana na wachezaji wenyewe kutojituma na kushindwa kufuata maelekezo ya kocha wao. TFF kemeeni uishabiki wa kizumbukuku kama waliofanya mashabiki wa Yanga jana vinginevyo mauaji yatatokea muda si mrefu. Nasema hivyo kwa sababu huwezi kujua mashabiki wa Coast Union watafanya nini endapo Yanga wataenda Tanga.

    ReplyDelete
  6. Nyie Yanga timu yenu mbovu,mnadanganywa na magazeti mbona wachezaji wa timu zote waliuharibu mchezo,mnataka na nyie mpigwe mawe Tanga midude yenu

    ReplyDelete