

Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo.
Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo. 


Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.

Elizabeth Michael (Lulu) akiwasili
kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam tayari kwa uzinduzi
wa filamu yake inayokwenda kwa jina la Foolish Age
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.
Lulu akilakiwa kwa mbwembwe na vijana walioandaliwa kwa kazi hiyo.
.Mwenyekiti
wa kampuni ya Proin Promotion Bw. Jonson Lukaza katikati akizungumza na
baadhi ya waigizaji wa filamu Rich Rich na mwenzake 


Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo 

Muigizaji Vicent Kigosi Ray akiwasili katika uzinduzi huo unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City. (PICHA KWA HISANI YA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment