Mabingwa wa Vodacom Premier League 2012 -2013, jana tarehe 10 Agosti 2013 wamezinduwa Tawi la Klabu hiyo kongwe lililooko Mbagala Kiburugwa Mfenesini.

Kaimu Mkurugenzi wa Yanga, Ndg Denis Oundo akipandisha bendera ya Young Africans Sports Club (Yanga) katika ofisi za Tawi hilo kuonesha kuhitimisha ufunguzi wa Tawi. Bw. Oundo alimwakilisha Mwenyekiti wa Klabu hiyo Ndg. Yusuf Manji.
WANACHAMA WAPYA
JAMANI, USHINDI, RAHAAA….
No comments:
Post a Comment