![]() |
| Wakati vilabu vya Real Madrid na Tottenham vikiwa kwenye meza ya mazungumzo kuhusu usajili wa mshambuliaji Gareth Bale - leo hii kwenye maduka mengi barani ulaya tayari zimeanza kuuzwa jezi za Real Madrid zenye jina la Bale. Haijafahamika rasmi kama jezi hizo ni rasmi kutoka kwa Real au za magumashi. Jezi hizo zinapatikana katika mtaa mooja maarufu kwa maduka ya vifaa vya michezo wa Gibraltar, na kwa mujibu wa wauzaji wa maduka hayo jezi zinauzwa kama njugu - kwa maana ya kuwa na soko sana. |

![Tottenham fans wont like this: Bales #11 Real Madrid shirts being sold in Gibraltar [Pictures] Tottenham fans wont like this: Bales #11 Real Madrid shirts being sold in Gibraltar [Pictures]](https://pbs.twimg.com/media/BRuN8_HCQAArt6C.jpg:large)
No comments:
Post a Comment