Search This Blog

Sunday, August 18, 2013

HIVI NDIVYO YANGA SC ILIVYOIZIMA AZAM FC KATIKA MCHEZO WA NGAO YA HISANI

Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ akipokea ngao ya Jamii kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick wakati wa mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 1-0.  (Picha na Francis Dande)  
Mashabiki wa Yanga.
Mbuyu Twite akisalimia na kocha wa Azam baada ya kumalizika kwa mchezo.
Kipa wa Azam, Aishi Manula.
Kipa wa Yanga, Deogratius Munishi.
Mwamuzi Msaidizi akikabili uso kwa uso na Canavaro.
Didier Kavumbagu akichuana na beki wa Azam, Davidi Mwantika.
Hamisi Mcha wa Azam akichuana na beki wa Yanga, David Luhende. 
Wachezaji wa Yanga, Deogratius Munishi (shoto) na Didier Kavumbagu wakishangilia ushindi wa timu yao.
(Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment