Search This Blog

Friday, August 23, 2013

CHELSEA YAKUBALIANA BEI NA AZHI KUMSAJILI WILLIAN

Klabu ya Chelsea ya England imekubaliana bei ya £30m na Anzhi Makhachkala kwa ajili ya kumsajili kiungo wa kibrazil Willian.

Kwa mujibu wa mtandao wa BBC - Chelsea wameweza kuipokonya tonge mdomoni Tottenham ambayo tayari ilishamfanyia vipimo kiungo mshambuliaji huyo.

Kilichobakia sasa ni kibali cha kazi tu kwa ajili ya Willian kuanza kukipiga katika kikosi cha Chelsea - akitegemewa kusaini mkataba wa miaka 5 wa kuitumikia timu hiyo inayomilikiwa na Mrusi Roman Abramovich.

No comments:

Post a Comment