![]() |
| Isco akitambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari baada ya kusaini mkataba wa miaka 5 wa kuitumikia Real Madrid. |
![]() |
| Isco amepewa jezi namba 23 ambayo ilikuwa ikivaliwa na gwiji David Beckham |
![]() |
| Isco akisaini mkataba mbele ya Florentino Perez - Raisi wa Real Madrid |
![]() |
| Kwenye kabati la makombe |
VIDEO WAKATI AKITAMBULISHWA







No comments:
Post a Comment