Wachezaji wa timu ya taifa 'Taifa Stars' na Uganda Cranes wakiingia uwanjani tayari kwa kuanza mechi yao ya kufuzu kucheza Chan iliyofanyika kwenye uwanja wa Mandela, Namboole mjini Kampala. |
Kikosi cha timu ya taifa ya Uganda 'Uganda Cranes'
|
Mchezaji wa Taifa Stars Aggrey Morris (katikati) akiwania mpira huku akizongwa na mabeki wa Uganda Cranes.Taifa Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
|
Amri Kiemba akipongezwa na Mrisho Ngasa/ Aboubakar Salum 'Sure Boy' baada ya kushinda bao la kusawazisha dhidi ya Uganda Cranes |
Washabiki wa Taifa Stars wakishangilia goli la kusawazisha..
|
Kiemba |
moderator kuna pic moja ya kuiondoa kwani naona haina good looking kwa sisi na mchezaji pia (ya 3 kutoka chini)
ReplyDeleteSisi 'staz' next time ili kutuongezea moyo wa kujituma! msitushonee suti tu, mtujengee nyumba kabisa!!! Ndio, ikiwezekana na magari mtununulie ya kutembelea!!wametufunga kwa taaaabu! Tabu sana...!!!Halafu hawa UG wana bahati sana na wamshukuru refarii!!ni tu mpira ulitukataa kabisa, mbona wangekiona cha mtema kuni @@#/*¥££₩!!!
ReplyDeletendio mpira ulivyo na asiyekubali kushindwa si mshindani ,cha msingi sasa tukae chini tupange mikakati madhubuti ikiwemo kuunda timu ya muda mrefu ,sasa itabidi tufumbe macho ili tuachane na hawa wachezaji wakongwe kwani wameshindwa kulipigania taifa kwa miaka mingi , ila nasisitiza kuwa kocha wetu bado ni mzuri tena sana tatizo ni aina ya wachezaji tulionao ambao wana viwango vya kupanda na kushuka kama maleria ndio wanao mwangusha
ReplyDelete