![]() |
| Kikosi cha TACAIDS |
| Kipute kilipigwa kwelikweli |
| Shaffih Dauda akijaribu kumtoka mlinzi wa TACAIDS |
Anatoly Nuno Kabezi akiwa ananyanyuliwa baada ya kutengua goti lake,lakini baada ya kupata matibabu aliendelea na mchezo huo.
| Pamoja na kufungwa tulipewa kombe - hapa nahodha wa Clouds The Dream Team Shaffih Dauda nikijiandaa kupokea kombe kutoka kwa mwenyekiti mtendaji wa tume ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dr. Fatma Mrisho |
| Shaffih Dauda nikipokea kombe kutoka kwa Dr. Fatma Mrisho |
| Mchezo wa kuvuta kamba pia ulichukua nafasi yake |
![]() |
| Dr. William Kafura wa TACAIDS akiimba pamoja na band ya Kalunde AMBAYO ilitumbuiza kwenye bonanza hilo |
![]() |
| Mchezo wa kukimbiza kuku pia ulichukua nafasi yake |




No comments:
Post a Comment