VIDEO - LIONEL MESS APIGA HAT TRICK NA KUMPITA RASMI MARADONA KWA MAGOLI YA KIMATAIFA
Mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi jana usiku alifunga mabao matatu kwenye dhidi ya Guatemala hivyo kutimiza mabao 35 tangu aanze kuichezea Argentina. Mabao hayo 35 yanamfanya Messi amfikie Hernan Crespo mwenye mabao 35 na kumpita gwiji wa nchi hiyo Diego Maradona mwenye mabao 34. Kinara wa mabao wa nchi ni Gabriel Batistuta ambaye alitumbukiza nyavuni mipira 56.
No comments:
Post a Comment