Search This Blog

Tuesday, June 25, 2013

HUYU NDIO MSICHANA ANAYETAJWA KUUMILIKI MOYO WA VICTOR WANYAMA - MWENYEWE AKANUSHA


Mwanasoka wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya  Celtic Victor Wanyama amekanusha rasmi kuwa na mahusiano na mwanamuziki wa kike wa Kenya Victoria Kimani. 

Akizungumza na Mondayblues siku ya jumamosi iliyopita, kiungo huyo ambaye anatolewa udenda na vilabu vikubwa barani ulaya ikiwemo Arsenal ya England, amesema Victoria Kimani ni rafiki yake tu na sio kama ambavyo vyombo vya habari vingi nchini Kenya vinavyoripoti. 
 
“Hatuna mahusiano,” alisema, lakini pia akaongeza angependa kuwa na msichana wa kike kuliko wa kutoka nje ya nchi yao.

No comments:

Post a Comment