Search This Blog

Friday, June 14, 2013

HUU NDIYO UZALENDO WA KWELI!

5 comments:

 1. Mambo ya Nickson Mikongoti kutoka Scanad, kaonyesha uzalendo wa kweli.

  ReplyDelete
 2. Shaffih ndugu yangu hii msg naomba ikiwezekana leo kwenye kipindi cha Sport itupie"Hivi inakuwaje sisi ndo tuwe Wazalendo kwani TFF hili swala haliwahusu/halimuhusu/hapaswi kuwa Mzalendo/Uzalendo ungeanzia TFF kwanza then mje pande zetu sisi wazalendo kweli,wewe unaniambia niwe mzalendo wakati nina njaa,..ili kuwa mzalendo ina maana washabiki tujitokeze kwa wingi/shout za kutosha/kuthamini cha nyumbani,sasa thamini vipi cha nyumbani wakati home uthaminiki..yani TFF wangekuwa wanamind uzalendo wasinge weka maviingilio ya juu kama walivyo weka 5'000 - 30'000/=ingewezekana sana kama wangeweka viingilio kwa bei ya uzalendo 2'500 - 20'000/="Unajuwa shaffih TFF wanaweka maslahi mbele sana kuliko uzalendo na hii yote TFF wanashindwa kutuelewa kwamba sisi tunapenda soccer na siyo washamba kama wanavyotufikiria,wanachokifanya TFF wanasema hivi hawa jamaa walivyo washamba wa Yahaya Toure na Gavinho lazima watajaa tu wamezowea kumwona kwenye runinga leo live lazima watajaa tu...This is aint no fair shaffih!si kama ile match ya Brazil walijua sisi tunaushamba na KAKA ndo wakapanga maviingilio yale.wana sahahu kwamba washamba ndo wazalendo siyo wote wanaweza ku-afford hivyo viingilio vyao..

  By FCL

  ReplyDelete
 3. Inatakiwa serikali na TFF itoe offer au kwa kulipia asilimia kiasi ili jezi za Taifa Stars ziuzwe chini ya Tsh. 4000 ili kila mzalendo amudu kununua na zivaliwe siku ya mechi dhidi ya Ivory Coast.

  ReplyDelete
 4. Shaffih ndugu yangu hii msg naomba ikiwezekana leo kwenye kipindi cha Sport itupie"Hivi inakuwaje sisi ndo tuwe Wazalendo kwani TFF hili swala haliwahusu/halimuhusu/hapaswi kuwa Mzalendo/Uzalendo ungeanzia TFF kwanza then mje pande zetu sisi wazalendo kweli,wewe unaniambia niwe mzalendo wakati nina njaa,..ili kuwa mzalendo ina maana washabiki tujitokeze kwa wingi/shout za kutosha/kuthamini cha nyumbani,sasa thamini vipi cha nyumbani wakati home uthaminiki..yani TFF wangekuwa wanamind uzalendo wasinge weka maviingilio ya juu kama walivyo weka 5'000 - 30'000/=ingewezekana sana kama wangeweka viingilio kwa bei ya uzalendo 2'500 - 20'000/="Unajuwa shaffih TFF wanaweka maslahi mbele sana kuliko uzalendo na hii yote TFF wanashindwa kutuelewa kwamba sisi tunapenda soccer na siyo washamba kama wanavyotufikiria,wanachokifanya TFF wanasema hivi hawa jamaa walivyo washamba wa Yahaya Toure na Gavinho lazima watajaa tu wamezowea kumwona kwenye runinga leo live lazima watajaa tu...This is aint no fair shaffih!si kama ile match ya Brazil walijua sisi tunaushamba na KAKA ndo wakapanga maviingilio yale.wana sahahu kwamba washamba ndo wazalendo siyo wote wanaweza ku-afford hivyo viingilio vyao..

  By FCL

  ReplyDelete
 5. Shafii usinibanie tupia ile comment yangu ina maana "unajuwa tusisapoti viingilio vya juu kwa sababu sisi wengine tuna complimentary za kuingia bure..jee nyinyi wenye complimentary mnauwezo wa kujiachia uwanjani na kupagawisha team kwa mayowe..????wenye kuweza fanya zote hizo hawana uwezo wa kulipa 5000/-Kwa sasa hivi kidogo team ipo kwenye matumaini ya kuweza kufuzu Kombe la Dunia inabidi viongozi wafikirie fitna za kuweza kusababisha ushindi...moja wapo kuweka viingilio nafuu vya kizalendo..Kiukweli hata ukiwaangalia wale wanaojicora nembo za rangi ya team siyo wote wanaweza kulipa viingilio hivyo vya kifisadi..!ni hayo tu.!

  By FCL

  ReplyDelete