Search This Blog

Thursday, June 13, 2013

BREAKING NEWS: MSANII WA HIP HOP LANGA AFARIKI DUNIA

Msanii wa muziki wa kizazi Langa Kileo amefariki dunia jioni ya leo katika hospitali ya Muhimbili baada ya kuugua ugonjwa wa Malaria.

Langa ambaye aliingia rasmi kwenye muziki baada ya kuwa mmoja ya washindi Coca Cola Pop Star, ambapo aliunda kundi la WAKILISHA kwa pamoja na Shaa pamoja na Witness. Walifanikiwa kutoa nyimbo kadhaa ambazo zilitamba sana kwenye vituo vya Radio na Television.

Kwa taarifa zaidi kuhusu msiba huu endelea kutembelea www.shafihdauda.com


No comments:

Post a Comment