Search This Blog

Friday, May 24, 2013

CHAMPIONS LEAGUE FINAL COUNTDOWN: BORRUSIA DORTMUND NA BAYERN ZAWASILI JIJINI LONDON MAPEMA LEO


Shaffih Dauda nikiwa baadhi ya mashabiki wa BVB waliokwenda uwanjani kuilaki timu yao

Borrusia Dortmund wakiwasili London mapema leo

Roberto Lewandoski na wenzie ndani ya Heathrow Airport
Jurgen Klopp kocha wa Borrusia Dortmund

Mario Gomez akiwasili jijini London

Frank Ribery akilakiwa na umati wa mashabiki

7 comments:

  1. dortmund will win the clash
    its me Alexander Nyimbi from kinyerezi
    Predictions B.Dortmund 2-0 Bayern Munich

    ReplyDelete
  2. kama kawa tema dotmond lazma wapige mtu goli leoooo

    ReplyDelete
  3. Kaka ongeza umakini kidogo kwenye picha zako

    Wachezaji wameruka na Turkish airline wametua na Lufthansa wakati hakuna kituo kati

    Hii kiboko

    Mdau,
    Maseru, Lesotho

    ReplyDelete
  4. I wish Dortmund to win, but the thing is how will they stop bayern!! Bayern its among greatest team i ever seen......Bayern are UEFA CHAMPIONS LEAGUE WINNER 2012/2013

    ReplyDelete
  5. Shaffi hiyo ndege ya Dortmund ilikuwa inapaa au inatua, sijakuelewa vizuri bro

    ReplyDelete
  6. BVB watawashangaza wengi coz kila mtu anaamini watapoteza lakini ukweli hii ni mechi ngumu sana kwa bayern and i believe watapoteza tena

    ReplyDelete
  7. Its Bayern watch out
    Dauda

    ReplyDelete