Search This Blog

Wednesday, April 3, 2013

HII NDIO YANGA


7 comments:

  1. na madeni ni ngapi mpaka sasa ?
    jee tuna uwanja wa kuchezea ?
    inafanya nini kuinua soka la vijana?
    jee tutachukua ubingwa au la?
    na mengine mengi ya kujiuliza.

    ReplyDelete
  2. LUGHA ZA WATU HIZI BHANA!!

    11- MORE THAN 5 PLAYERS ARE PLAYING FOR TAIFA STARS?!!!?

    13- ONE PLAYER ARE PLAYING FOR THE CRANES!!!

    ReplyDelete
  3. Correction plz # 13 not one player are playing for the cranes. I could be one player is playing .........

    ReplyDelete
  4. Wanajaribu kuweka mambo yawe yanakwenda na wakati. Si mbaya kujifunza toka kwenye tovuti za timu za nje jinsi nawavyoweka mambo yao sawa.
    Hongera kwa kuonyesha njia! Simba na timu nyingine mlelala! Pia aibu tovuti ya tff!! Haina maelezo ya kutosha wala haipo "current"

    ReplyDelete
  5. LUGHA!!!! si bora hata wangeandika kiswahili! eti "suffered 2 loss"

    ndo maana ubabaishaji hauishi!

    ReplyDelete
  6. Hapa naona wote lugha inagongana tu, we uliyesema I could be one plyter is.......!? Cjajua km n error of omition bt hakikisha editing yako iko poa unless utakuwa kichekesho. Na huyo aliyeandika hzo facts ajirekebishe coz tumechoshwa na lugha mbovu, bongo movie tuzkute na huku tena?

    ReplyDelete
  7. number 13 si kweli. kiiza haijaitwa the cranes!

    ReplyDelete