Search This Blog

Tuesday, April 2, 2013

GWIJI LA SOKA NCHINI HISPANIA FERNANDO HIERRO AILIA PASAKA JIJINI ARUSHA.

F
Beki wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania na Klabu ya Real Madrid Fernando Hierro akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa moja ya hotel aliyofikia huko mkoani Arusha. 


 Hierro akipata kifungua kinywa na Familia yake kwenye moja ya Hotel za kitalii jijini Arusha.
Mdau Simon Kissingi akiwa na Fernando Hierro na mke wake.

No comments:

Post a Comment