Search This Blog

Thursday, April 4, 2013

EXCLUSIVE: PICHA ZAIDI ZA RAMANI YA UWANJA WA YANGA



8 comments:

  1. AT THIS STAGE WE NEED TO CHEER OUR LEADERS.....VERY NICE YANGA AFRICANS......."DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.."

    ReplyDelete
  2. hongera sana viongozi wenye mitazamo chanya namna hii.

    ReplyDelete
  3. hongera sana viongozi wa yanga cha msingi ni kuacha magumash ya kibongo na kwenda kisomi zaidi.pigeni donei kama mtapata ugumu wa fedha watu wapo tayari kuwasaidia.

    ReplyDelete
  4. CJUIII LAKINI NAONA HADITHI KAMA HII SI NGENI KWA VILABU HIVI VINAVYOJIITA VIKUBWA KAMA VIMESHINDWA KUTENGENEZA PITCH TU(SEHEMU YA KUCHEZEA) NA KISHA KUIZUUNGUSHIA MABATI YA SIMBA DUMU YA GEJI 34 WATAWEZA HILI LA SAPPORO DOME? TUSUBIRINI INSHALLAH

    ReplyDelete
  5. I trust Manji..the guy knows business...with full support from his fellow club leaders. i bet, he will reach the clouds..only sky will be the limit.. congrats at this stage.

    joseph j

    ReplyDelete
  6. hiyo michoro naweza kuchora hata mimi, ishu kuimplement

    ReplyDelete
  7. hata mbuyu ulianza kama mchicha, kwa viongozi waliopo nina matumaini lengo litafikiwa!

    ReplyDelete
  8. Njogoo wa kuchora hawiki... kazi kwenye ujenzi

    ReplyDelete