Search This Blog

Wednesday, April 24, 2013

ANGALIA KWA PICHA ZA MNATO MATUKIO YOTE YA UTATA BAYERN VS BARCA KUSHIKA MIPIRA NDANI YA BOX KWA PIQUE NA SANCHEZ, ALBA, GOLI LA GOMEZ

iSLmkr9gZkVEo GIF: The ball hits Alexis Sanchezs hand in the Barca box, no penalty given
ALEX SANCHEZ - JE HII ILIKUWA PENATI AU SIO??

GOLI LA MARIO GOMEZ

bayern munich scores second goal against barcelona GIF: Another angle of Mario Gomezs goal v Barcelona










ANGLE YA KWANZA

i68jaEHig0MgA GIF: Mario Gomez sweeps Bayern 2 up v Barcelona
 ANGLE YA PILI

Handball_medium
Je hii ilipaswa kuwa penati au sio - mpira wa shuti uliopigwa na Lahm ukizuiliwa na Pique kwa mkono

ipfEIQw57MhSC GIF: Jordi Alba throws the ball in Arjen Robbens face
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

4 comments:

  1. In realy sense jana mwamuzi kaboronga coz ukiachana na hayo ya kusema goli c goli ama penati au c penati kagawa kadi nyingi sana kwa wachezaji wa Bayern pacpo faulo za kutoa adhabu hiyo na kashindwa kumwonesha Dani Alaves kwa rafu zake za kipuuzi alizofanya!

    ReplyDelete
  2. kiufupi barcerona walipotea kimchezo hali ambayo kwanamna moja au nyingine ilionekana hata muamuzi wa mchezo hakutarajia ndomana aka boronga hata hivyo sioni kama baca wanaweza wakabadili matokeo kwakipindi hiki kwani bayern wapo on fire zaidi ya wao good byeee barcerona.

    ReplyDelete
  3. kiufupi barcerona walipotea kimchezo syo timu ya kuibeza lakini wasingeweza kufanya chochote kwa mchezo wa jana na isitoshe sioni kama wanaweza wakafanya chochote kubadili matokeo kwa kipindi hiki kwani bayern wanaonekana kuwa on fire zaidi yao good byee barcerona.

    ReplyDelete
  4. kwa kweli mziki wa buyen jana ulikua balaa kwa barcelona.couse refa katoa kadi nyingi sana .na badhi ya wachezaji.wa barcelona walikosa nidhamu na walichoka mapema,

    ReplyDelete