Search This Blog

Thursday, March 21, 2013

SEHEMU YA HOTUBA ILIYONIVUTIA SANA YA MHESHIMIWA RAISI DR JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE UZINDUZI WA AZAM COMPLEX

4 comments:

  1. Kikwete unaweza sana kuhusu mambo ya michezo yani hii hotuba Simba inawahusu ila nadhani kuwa Yanga inawahusu zaidi pale aliposema timu inasajili mchezaji ilimradi tu asichezee timu fulani na tumeliona hili kwa TWITE , YONDANI na sasa NGASA anaelekea huko .

    ReplyDelete
  2. Mimi ninapenda kuwapongeza tena Azam kwa hatua yao, pamoja na kuwakumbusha Yanga,Japo siwapendi,kuwa msifanye makosa tuliyofanya sisi Simba kutomsikiliza METL. Mtarudi tuliko watani wenu.

    Pia napenda kuwapongeza watu Kama Shafii Dauda kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika mabadilika ya Soka ndani ya Tanzaniaa, hata kama watu hawaoni leo,hakuna alichoongea Raisi ambacho hamjawahi kuongea katika SPorts Extra.

    Wengi tunafahamu ila nguvu hatuna kwa sababu wajinga ndio wengi,labda sasa Serikali ikiweka nayo Mkono wa mabavu yake pengine itasaidia

    ReplyDelete
  3. tunakushukuru sana dk jakaya kwa ulinzi wa taifa ,kwani bila wewe hatuwez kuthaminika kaka

    ReplyDelete
  4. tunamshukuru sana kwa kufahamu hilo

    ReplyDelete