Search This Blog

Saturday, March 2, 2013

PHOTO OF THE DAY: SIMBA NDANI YA ANGOLA TAYARI KUPAMBANA NA LIBOLO

Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi nje ya Hotel Ritz na mchambuzi wa soka Edo Kumwembe huko Angola tayari kwa kupambana na Libolo siku ya kesho katika mechi ya pili ya Mabingwa wa Afrika.

3 comments:

  1. Mbona inaelekea washafungwa wameenda kutimiza wajibu tu...

    ReplyDelete
  2. al da best wekundu wa msimbazi

    ReplyDelete
  3. Jinsi walivyokaaa inakatisha tamaaa kabisa, poleni watani, tutawapokea airport kwa shangwe na vigelegele.

    ReplyDelete