Mabingwa watetezi wa VPL, Simba SC leo wameendelea kupoteza matumaini ya kutetea ubingwa wao baada ya kufungwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Kwa upande mwingine Azam FC leo hii wameishindilia Prisons 3-0 kwa dimba la Chamazi.
Tangu Mechi ianze kocha huyu wa Simba alionekana kuwa na mawazo sana
Kocha wa Kagera Sugar King Kibadeni
Wadau mbalimbali wa Soka
Mwaka wa njaa ni wa njaa, Sikio la kufa halisikii dawa, siku ya njani kufa miti yote huteleza .Anyway, you'll never walk alone!!! Mashabiki wa kweli bado tumo japo nafasi ya pili inshallah!! Ikishindikana basi hata kumfunga yanga si haba! Itatufariji.vita mbeleee.
ReplyDeletesimba mtampa tu pressure huyo tajiri wetu malkia wa nyuki cha kufanya simba fukuza rage,julio na kaseja hao ndo wachawi wa simba bila hivyo tutachezea vichapo kila mechi
ReplyDeleteSimba mmevuna mlichopanda hasa viongozi ving'ang'anizi kama Rage.
ReplyDelete