Search This Blog

Wednesday, February 27, 2013

PHOTOZ: YANGA ILIVYOZIDI KUJICHIMBIA KILELENI KWA KUINYOOSHA KAGERA 1-0



PICHA NA FRANCIS DANDE BLOG

10 comments:

  1. hongera Yanga hamkamatiki mwaka huu.Manji oyee!

    ReplyDelete
  2. tatizo ni kuwa tunashabikia ushindi na kuona timu ipo poa ila ushindi unapatikanaje hapo ndio shughuli!!! kuna mchezo m hafu unaendelea kwa kununua mechi na kuonga waamuzi. hili ni bomu lingine linalokaribia kulipuka. ushahidi upo tu!!

    ReplyDelete
  3. kobe wewe wez wa match ni nyie smba

    ReplyDelete
  4. mtabaki hukohuko na mambo ya kusema tumenunua mechi,ligi kuu ndo hiyooooo mikononi mwa yanga.......bila shaka utakuwa mshabiki wa simba ama azam,yanga oyeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  5. toa ushahidi cyo unaongea tu eti 2nanunua match!ila nyny mkishinda mnajua mpira?acheni ushamba huo mambo ya kizamani hayo.

    ReplyDelete
  6. Sasa kama tumenunua ? Kwann tusingenunua na mechi ya kagera na mtibwa ambazo ndo mechi pekee tulizofungwa ? Au na nyie mlivyokuwa mabingwa mwaka jana mlinunua ?? Stupid !!!!!!!!

    ReplyDelete