Search This Blog

Saturday, February 2, 2013

NIGERIA WAPEWA AHADI YA NGONO BURE WIKI MOJA NA CHAMA CHA MACHANGUDOA NCHINI KWAO IKIWA WATABEBA UBINGWA WA AFRIKA


Prostitutes
Machangudoa nchini Nigeria wamesema wamefurahia sana ushindi wa Super Eagles dhidi ya Ethiopia katika mashindano ya AFCON yanayoendelea nchini Afrika ya Kusini.
Machangudoa hao kupitia chama chao cha aegis of Nigeria Association of Prostitutes  wamewasisitiza wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria kujitahidi na kushinda kombe hilo. Katika taarifa iliyotolewa na kusainiwa na katibu mkuu wa chama hicho Jessica Elvis. 
 “Tunapenda kuwapongeza wachezaji na makocha wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles kwa kufuzu kuingia robo fainali raundi inayofuatia ya mashindano. Tungependa kuwapa uhakika wa sapoti yetu ili waweze kuleta ushindi nyumbani. 
"Katika kuonyesha sapoti yetu kwa timu ya taifa, tutatoa ofa ya wiki moja ya mapenzi bure kwa Super Eagles ikiwa watashinda ubingwa wa Afrika," alisema katibu mkuu wa chama hicho cha machagundoa.
Inasemekana baadhi ya wanachama wa chama hicho wapo nchini South Africa wakiisapoti timu hiyo kwenye mashindano ya AFCON.

6 comments:

  1. JAMANI motisha nyingine ni aibu hata kuziahidi! ina maana wachezaji wote wa Nigeria hawajaoa? Vp kuhusu familia zao na hasa wenzi wao wakisikia ofa ya aina hii? hata wale ambao hawajaoa watapata fundisho gani baada ya kupewa zawadi hiyo? na si jambo jema kijamii hasa ya kiafrika kutoa zawadi ya aina hiyo hadharani!! Mnaweza kuniona mshamba lkn nadhani huu ni uvunjifu mkubwa wa maadili hasa ya kiafrika! Tendo la ndoa lina maadili yake na si kitu cha kufanywa hovyo hovyo! Nawaomba wachezaji wa Nigeria hata kama ikitokea wakashinda kombe hili lbd wale wenye wake wakastarehe na wenzi wao na si machangudoa hao watajivunjia heshima zao kwa jamii ya kiafrika bure! (ushauri wa bure) Bg MSM.

    ReplyDelete
  2. motisha nzuri sana watanzania tuige hio

    ReplyDelete
  3. duu,KAKA shafih unaonaje ingekua bongo?

    ReplyDelete