Search This Blog

Friday, February 8, 2013

MANCHESTER UNITED HAIJAPOTEZA MECHI HATA MOJA NDANI YA MIAKA 10 WANAPOCHZESHWA NA MWAMUZI ATAKAYECHEZESHA MECHI DHIDI YA EVERTON

Mechi ya mwisho ya United kupoteza mwamuzi akiwa Mark Halsey
Manchester United wanaikaribisha Everton Old Trafford wikiendi hii. Everton wamekuwa wakiisumbua United katika kipindi cha hivi karibuni na wanapewa nafasi ya kuisimamisha United inayoongoza ligi kwa pointi 9 mbele ya mahasimu wao Manchester City.

Lakini mambo yanaweza kuwa magumu kwa Everton. Tatizo ni refa Mark Halsey. Refa huyu ana bahati nzuri na United, katika kipindi cha miaka 10 iliyopita kila anapochezesha mechi inayoihusisha kikosi cha Sir Alex Ferguson, Red Devils hawajawahi kupoteza mchezo.

Mara ya mwisho United wamepoteza mchezo wakiwa wanaamuliwa na Halsey ilikuwa ni mwaka 2003, mwezi August katika dimba la St.Mary kwenye mechi ya EPL dhidi ya Southmpton ambao waliibuka na ushindi wa goli la dakika ya 88 lilofungwa na James Beattie. Kikosi cha United kipindi kilikuwa kikiundwa pia na wachezaji kama Kleberson na Djemba Djemba huku CR7 akitokea kwenye benchi lakini hakishindwa kubadili matokeo. 


Rio Ferdinand tries to get his point across to Mark Halsey at White Hart Lane

HIZI NI REKODI ZA MECHI ZA UNITED WALIZOCHEZESHWA NA MARK HALSEY.

2012/2013

01/12/12 - Reading (a) W 4-3 (pen for Utd)
23/09/12 - Liverpool (a) W 2-1 (pen for Utd, red card for Jonjo Shelvey)

2011/2012

15/04/12 - Aston Villa (h) W 4-0 (pen for Utd)
12/12/11 - Fulham (a) W 5-0
29/10/11 - Everton (a) W 1-0

2008/2009

02/05/09 - Middlesbrough (a) W 2-0
31/01/09 - Everton (h) W 1-0 (pen for Utd)
06/12/08 - Sunderland (h) W 1-0
18/10/08 - West Brom (h) W 4-0

2007/2008
29/03/08 - Aston Villa (h) W 4-0
16/12/07 - Liverpool (a) W 1-0

2006/2007

29/11/06 - Everton (h) W 3-0
Sol Campbell receives a red card from referee Mark Halsey in 2003
2005/2006
17/04/06 - Tottenham (a) W 2-1 (above, right)
2004/2005
07/05/05 - West Brom (h) D 1-1 (pen for WBA)
26/02/05 - Portsmouth (h) W 2-1
22/01/05 - Aston Villa (h) W 3-1
16/10/04 - Birmingham (a) D 0-0

2003/2004
13/04/04 - Leicester (h) W 1-0
21/02/04 - Leeds (h) D 1-1
13/12/03 - Man City (h) W 3-1
22/11/03 - Blackburn (h) W 2-1
31/08/03 - Southampton (a) L 0-1

2002/2003
03/05/03 - Charlton (h) W 4-1
16/04/03 - Arsenal (a) D 2-2 (red card for Sol Campbell, right)
17/11/02 - West Ham (a) D 1-1

2001/2002
16/03/02 - West Ham (a) W 5-3 (pen for Utd)
12/12/01 - Derby (h) W 5-0
10/04/01 - Charlton (h) W 2-1

7 comments:

 1. Acha ujinga wewe... HOJA yako ni nin haswa... Penalty na Red card ni sehemu ya mpira. Mn Utd wametawala soka kwa last decade sasa unataka wafungwe kila Refa akichezesha... kajipange wewe ni mtu mwenye uelewa mkubwa sana na sikutegemnea kuandika habari za unazi wa mandazi kama huu no facts... ningeona unabidii kama unge analyse maamuzi zaina ya kutupa takwimu... Tunakutegemea kuonyesha tofauti na si Kukopi na Kupaste unazi.

  ReplyDelete
 2. Wadau wa kandanda! kuna swali ambalo huwa najiuliza lika mara kutokana na malalamiko yaliyopo juu ya Man United na upendeleo kwa waamuzi! Nahisi hata makala hii inaelekea kwenye mlengo huo huo! Swali ni kuwa ni nini kinachofanya idhaniwe kuwa Man United inasaidiwa na waamuzi? Je marefa wengi kama sio wote wana mapenzi na Man United tu! Nini cha mno? Na kama kuna makosa yanafanywa ya dhahiri kwa kile kinachoitwa "kubebwa" kwa Man United na waamuzi je waamuzi hao wako juu ya chama cha waamuzi wa England? na kama siyo mbona bado wanachezesha mechi hadi leo? Au kuna nini? Mimi napata kizunguzungu au chama cha waamuzi pia kinamilikiwa na Man United? Naomba kuwasilisha! Na nipewe maelezo yasiyo ya kinazi, kishabiki na kimapenzi na Timu yoyote! NURU SPORTS MSM

  ReplyDelete
 3. Nimetoa hoja na kuwasilisha mawazo na maswali yangu mbona siendi hewani wahusika mko wapi? au ni makosa kutoa maoni yanayoenda tofauti na mtazamo wa mwandishi! Naomba kuwasilisha
  NURU SPORTS MSM!

  ReplyDelete
 4. Sijafurahishwa na comment za mdau wa kwanza happy juu coz alichofanya dauda ni kupost data zilizopo hasa hili swala anabase kuiponda man u limetoka wapi? Ndugu jitahid kuwa na upeo hizo fikra zako zimepitwa na wakati

  ReplyDelete
 5. nimegundua mashabiki wengine ni mafala cz anochompondea shaff ni nin?hizo ni takwim amechukua ametupa mim i shabiki wa united ila huyo jamaa wa kwanza hap juu inaonyesh una upeo mdogo xana wa mpira na hustahili kuw shabiki wa united mjinga mkubwa wewe????

  ReplyDelete
 6. WAKIKUONGELEA UJUWE WANAKKUBALI

  ReplyDelete
 7. kweli leo hii nimeamini uwezo mdogo wakufikili ni utumwa wa kifikira soo mwenzio ameendika ukasoma uka comment uoni kama wee ndio mburura kama uliona ni upuuzi usingesoma na usinge comment kajipange mwenyewe au anzisha yako na ss tuwe tunasoma ...dont be maD ( first person to comment) usipende kulopoka kama una meno we ni mukubwa....Tena inawezekana imeoa..

  *thanks brother Shaffih Big Up sana endelea kutupa records za soka ...Mungu Awe nawe ..AMINA

  ReplyDelete