Search This Blog

Friday, January 11, 2013

YANGA YAENDELEA KULA VIPIGO UTURUKI - YAGONGWA 2-0 NA EMMEN FC



Klabu bingwa ya Afrika mashariki na kati Dar Young African wameendelea na mechi za kujifua huko nchini Uturuki kwa leo kucheza na timu ya Emmen FC ya ligi daraja la kwanza nchini Uholanzi  katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika viwanja vya Adora football - Berek pembeni kidogo ya mji wa Antlaya. Mechi hiyo imeisha hivi punde kwa Yanga kufungwa mabao 2-0.

11 comments:

  1. duuh kwani yeboyebo watarudi lini ktk ziara yao yao waliyokwenda kufungwa

    ReplyDelete
  2. Naamini kwa mechi tatu walizocheza,watakuwa wamejifunza na kupata kitu kipya kabisa,.Ni jukumu la benchi la ufundi kurekebisha pale walipokosea..Nawapongeza kwa kukamilisha malengo yao ya kupiga kambi uturuki..

    ReplyDelete
  3. hongera chama langu goog work ...rudini nyumbani sasa tufanye maajabu.......................HII NDIYO YANGAAAA

    ReplyDelete
  4. KUFUNGWA NI SEHEMU YA MATAJIO YA MCHEZO WANGEBAKI HAPA FRIEDN MECH NA AFRICAN LION NA KUSHINDA AU KOMBE LA MAPINDUZI WANEGISEHINDA WANGEONA KOMBE NI LAO...!

    WAEJIFUNZA MENGI HASA KUTOKA TIMU ZA NJE..SIYO WACHEZAAJI TU HATA VIONGOZI...HII NI IMANI YANGU KWAO NA KOMBE TUTALISHINDA..........HUYO ANYESEMA ZIARA YA KUFUNGWA NI KUMUONEA HURMA NIA SHABIKI WA MPIRA NA SIYO MPENZI WA MPIRA....!!!

    ReplyDelete
  5. tatzo lako Shaffih habari zako zina upendeleo saana, basi kama vipi badilisha jina la website yako na kuwa http://www.simbafc_shaffihdauda.com

    ReplyDelete
  6. Hizo ni changamoto za kimchzeo tu. Kosa moja linakupa nafasi ya kujirekebisha huo ndio mchezo. Poa tu, YANGA mbele daima nyuma mwiko.

    ReplyDelete
  7. Karibu nyumban yanga ndo mpira

    ReplyDelete
  8. huyo anayejiita guby IQ yake ni 0.5,tumsamehe. Shaffih ni mnanzi mkubwa wa Yanga ila inamuuna ndiyo maana anasema ukweli mjifunze. Mtu mwenye akili timamu anapenda kukosolewa si kusifiwa kwa kila jambo kama mtoto mdogo... Mnatutia aibu nyooo....

    ReplyDelete
  9. Sas kosa la shaffih hapo nini,tatizo mashabiki wa Yanga wanapenda kudanganywa,wanapenda kusikia/kusoma magazeti yao ya udaku oooh Yanga kafungwa lakini wamecheza mpira mzuri sana,oooh Tegete anawaumiza vichwa waturuki,oooh waturuki waturuki wafika bei kwa goal safi alilopiga tegete,yani wanapenda habari zakidaku daku na zenye faraja hata kama hawajuwi...inapofikia mazingira ya ukweli wanaona shaffih hawapendi...wewe timu toka imekwenda uturuki inacheza na team za league ndogo na ume-draw moja 2 match straight umegongwa unataka uandikwe vp kwenye vyombo vya habari...Ingekuwa mm ningeandikwa YANGA BADO AENDELEA KUPAKATWA UTURUKI.

    ReplyDelete
  10. Sas kosa la shaffih hapo nini,tatizo mashabiki wa Yanga wanapenda kudanganywa,wanapenda kusikia/kusoma magazeti yao ya udaku oooh Yanga kafungwa lakini wamecheza mpira mzuri sana,oooh Tegete anawaumiza vichwa waturuki,oooh waturuki waturuki wafika bei kwa goal safi alilopiga tegete,yani wanapenda habari zakidaku daku na zenye faraja hata kama hawajuwi...inapofikia mazingira ya ukweli wanaona shaffih hawapendi...wewe timu toka imekwenda uturuki inacheza na team za league ndogo na ume-draw moja 2 match straight umegongwa unataka uandikwe vp kwenye vyombo vya habari...Ingekuwa mm ningeandikwa YANGA BADO AENDELEA KUPAKATWA UTURUKI.

    ReplyDelete
  11. Sas kosa la shaffih hapo nini,tatizo mashabiki wa Yanga wanapenda kudanganywa,wanapenda kusikia/kusoma magazeti yao ya udaku oooh Yanga kafungwa lakini wamecheza mpira mzuri sana,oooh Tegete anawaumiza vichwa waturuki,oooh waturuki waturuki wafika bei kwa goal safi alilopiga tegete,yani wanapenda habari zakidaku daku na zenye faraja hata kama hawajuwi...inapofikia mazingira ya ukweli wanaona shaffih hawapendi...wewe timu toka imekwenda uturuki inacheza na team za league ndogo na ume-draw moja 2 match straight umegongwa unataka uandikwe vp kwenye vyombo vya habari...Ingekuwa mm ningeandikwa YANGA BADO AENDELEA KUPAKATWA UTURUKI.

    ReplyDelete