SIMBA WAENDELEA KUWASILI KWA MAKUNDI OMAN - SINGANO 'MESSI' NA ABDALLAH SESEME WAWASILI LEO
Wachezaji
wawili wa Simba, Abdallah Seseme (kushoto) na Ramadhan Singano ‘Messi’,
wakipokewa na Talib Hilal (kulia) na Ofisa wa Ubalozi wa Tanzania Oman,
Abdallah Kilima mara baada ya kuwasili nchini Oman kujiunga na wenzao
kambini, leo.
Singano na Seseme wakiwa uwanja wa ndege nchini Oman leo baada ya kutua. Wanasalimiana na waliokwenda kuwapokea. (PICHA NA SALEHE ALLY)
No comments:
Post a Comment