Search This Blog

Thursday, January 10, 2013

CLOUDS MEDIA KESHO KUWAKABILI GEBI PRESURE!



Timu ya soka ya Clouds Media kesho mishale ya saa kumi jioni kwenye viwanja vya Tanganyika Packers itashuka kuikabili timu ya GEBI PRESSURE ' Laki si pesa, milioni pocket Money '.

Timu hizi zilikutana mwaka jana na matokeo yalikuwa sare ya mabao 2-2,

wote mnakaribishwa kuja kuwaona kina Jeff,Mbwiga ' C ',maestro,Nuno Kabezi,Joram Nyaumba,Benny Kinyaia na wengineo.

No comments:

Post a Comment