Taarifa rasmi kutoka kwenye klabu hiyo iliyotolewa muda mfupi uliopita inasema kwamba Guardiola atachukua majukumu yake ya kuwa manager mpya wa timu hiyo baada ya msimu wa 2012-2013 kuisha, na amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuifundisha timu hiyo inayoongoza ligi ya Bundesliga.

Iddi ahmed from makorora tanga ~Da! Team yangu ya Baca imeumia. Nitamkumbuka sana kocha huyu. Kwani kaipa vikombe vingi sana bacelona.
ReplyDeleteTUTEGEMEE UJIO WAKE MPYA HUO MAANA HATUJUI ATAKUJA NA FORMULA GANI?TUNAMTAKIA KILA LA KHERI
ReplyDeleteTulitangaziwa kuwa ataenda man city na kulipwa mshahara wa paund 10m baada ya makato ya kodi. Kumbe zilikuwa habari zisizokuwa na uhakika!
ReplyDelete